Jimbo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
"Taifa la Mungu" inaweza kuwa na maana maalumu katika tholojia ya madhehebu; haikueleweka waziwazi hapa
Mstari 11:
==Katika Kanisa==
 
Vilevile ndani ya Kanisa jina linatumiwa tofauti na [[madhehebu]] mbalimbali.
 
Ushirika* waJimbo la Kanisa [[Anglikana]] unajumlishani majimbokitengo kadhaacha inayojitegemeakujitegemea na kujitawala cha kanisa hili katika nchi fulani (kwa mfano Jimbo la Tanzania ambalo linaunganisha [[dayosisi]] zote za nchi hiyo). Penye Waanglikana wachache jimbo linaweza kujumlisha wakristo wake katika nchi kadhaa kwa mfano jimbo Anglikana la Afrika ya Kati inaunganisha [[Botswana]], [[Malawi]], [[Zambia]] na [[Zimbabwe]].
 
*[[Kanisa Katoliki]] linatumia neno jimbo kwa maana ya [[dayosisi]], yaani sehemukitengo yacha [[Taifakanisa lakatoliki Mungu]]kwa jumla inayoongozwakinachoongozwa na [[Askofuaskofu]] pamoja na [[upadri|mapadri]] wake.
 
Kumbe *kwa [[Walutheri]] jimbo ni sehemu tu ya dayosisi, ingawa inajumuisha sharikashirika kadhaa.
 
*jimbo la [[Moravian]] ni kitengo cha kujitawala ndani ya kanisa la Moravian duniani kinachojumlisha shirika na mitaa; kuna majimbo manne ndani ya [[Kanisa la Moravian Tanzania]].
 
[[Category: Ugawaji wa nchi]]