Dayosisi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Dayosisi''' (kwa [[Kilatini]] ''dioecesis'', kutokana na [[Kigiriki]] ''διοίκησις'', yaani "utawala") ni jina kwala eneojumuia lililopoya [[Ukristo]] iliyopo chini ya usimamizi wa [[askofu]] katika [[madhehebu]] mbalimbali, yahasa kanisakatika laeneo kikristofulani.
 
Kwa Kiswahili ni jina la kawaida katika kanisamakanisa ya Kiluteri na Anglikana. Kwa kawaidaKumbe [[Kanisa Katoliki|Wakatoliki]] wanaoongea [[Kiswahili]] wanaiita [[jimbo]], lakini kwa lugha nyingine wanatumia neno hilikama hilo bila ya piakulitafsiri; kwa mfano "diocese" ([[Kiingereza]]), "diocesi" ([[Kiitalia]]) au "diocèse" ([[Kifaransa]]).
 
==Historia==
Mwanzoni "dayosisi" ilikuwa kitengo cha utawala wa [[serikali]] katika [[Dola la Roma]]; dayosisi moja ilijumlisha majimbo kadhaa. Baada ya uenezaji wa Ukristo katika Dola la Roma kanisa[[Kanisa]] lilianza kutumia mipaka ya utawala wa serikali kwa ajili ya vitengo vyake na kwa njia hii muundo wa dayosisi ulikuwa pia muundo wa utawala ndani ya kanisa. Baada ya kuporomoka kwa Dola la Roma jina hilihilO halikutumiwa tena upande wa serikali lakini likaendelea ndani ya kanisa kwa ajili ya eneo chini ya askofu.
 
==Katika Kanisa Katoliki==
Katika Kanisa Katoliki dayosisi au jimbo chini ya askofu wake ni kitengo kamili cha kanisa. [[Mtaguso wa pili wa Vatikano]] ulieleza kwamba: "Jimbo ni sehemu ya [[Taifa la Mungu]], iliyokabidhiwa kichungaji kwa Askofu, akisaidiwa na [[upadri|mapadri]] wake, hivi kwamba kwa kuambatana na Mchungaji wake, na kuungana ndani ya [[Roho Mtakatifu]] kwa njia ya [[Injili]] na ya [[Ekaristi]] takatifu, iunde [[Kanisa maalumu]], ambamo linakuwemo na kutenda [[Kanisa]] la [[Yesu Kristo]], lililo Moja, Takatifu, Katoliki na la Mitume" ([[Christus Dominus]])'' 11.
 
==Viungo vya nje==