Jimbo : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
"Taifa la Mungu" inaweza kuwa na maana maalumu katika tholojia ya madhehebu; haikueleweka waziwazi hapa |
|||
Mstari 15:
* Jimbo la Kanisa [[Anglikana]] ni kitengo cha kujitegemea na kujitawala cha kanisa hili katika nchi fulani kwa mfano Jimbo la Tanzania ambalo linaunganisha [[dayosisi]] zote za nchi hiyo. Penye Waanglikana wachache jimbo linaweza kujumlisha wakristo wake katika nchi kadhaa kwa mfano jimbo Anglikana la Afrika ya Kati inaunganisha [[Botswana]], [[Malawi]], [[Zambia]] na [[Zimbabwe]].
*[[Kanisa Katoliki]] linatumia neno jimbo kwa maana ya [[dayosisi]]
*
*jimbo la [[Moravian]] ni kitengo cha kujitawala ndani ya kanisa la Moravian duniani kinachojumlisha shirika na mitaa; kuna majimbo manne ndani ya [[Kanisa la Moravian Tanzania]].
|