Tofauti kati ya marekesbisho "Parokia"

81 bytes added ,  miaka 12 iliyopita
no edit summary
(kiungo cha Dominika ni kisiwa)
'''Parokia''' ni muundo mmojawapo wa zamani sana wa [[Kanisa Katoliki]], ambao umuhimu wake unatokana na kwamba ni sehemu ya [[jimbo]] ([[dayosisi]]) unapofanyika [[uchungaji]] wa kila siku chini ya [[kasisi]] anayemwakilisha [[Askofu]].
 
Kiini cha maisha ya parokia ni [[adhimisho]] la [[Ekaristi]] siku ya [[Jumapili]], ambapo jumuia nzima ya Kikristo ya eneo husika inakusanyika isikilize [[Neno la Mungu]], imsifu [[Mungu]] na [[kumegaKumega mkate]].
 
==Jina==
==Katika [[madhehebu]] mengine==
 
Mbali ya [[Kanisa Katoliki]], ambalo lina mtandao mkubwa zaidi wa parokia duniani kote, [[Waorthodoksi]], [[Waanglikana]], [[Walutheri]] na Wakristo wengine kadhaa wanatumia muundo huowa namna hiyo, ingawa mikazo ni tofauti, kulingana na [[teolojia]] yao.
 
[[Category:Ukristo]]