Mlango wa bahari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Strait of gibraltar.jpg|thumb|280px|Mlango wa bahari ya Gibraltar kati ya Afrika na Ulaya huuunganisha Mediteranea na Atlantiki]]
'''Mlango wa bahari''' (pia: '''mlangobahari''') ni mahali ambako magimba mawili ya nchi kavu hukaribiana kwa pwani zao na kuacha nafasi kwa ajili ya bahari.
 
Mlango wa aina hii mara nyingi ni njia muhimu ya mawasiliano, usafiri na biashara. Milango ya bahari ina pia umuhimu wa kijeshi kwa sababu anayetawala mlango ana nafasi ya kuzuia au kuruhusu wengine watumie ama wasitumie njia hiyo.