Amri Kumi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Amri Kumi''' ni orodha za amri kuu za kidini katika [[Biblia]] kitabu cha [[kutoka (Biblia)|Kutoka]] 20:1-17.
 
Toleo la awali linapatikana katika kitabu cha [[Kutoka (Biblia)|Kutoka]] 20:1-17. Toleo la pili liko katika [[Kumbukumbu la Torati]] 5:1-21.
Amri hizi ni sehemu ya [[Torati]] ya [[Uyahudi|Kiyahudi]] na kukubaliwa pia na [[Ukristo|Wakristo]] walio wengi kama amri zinazohusuzinazowahusu pia Wakristowao, tena kimsingi zinadai watu wote. Hata hivyo wafuasi wa [[Yesu Kristo]] wanazishika kadiri ya utimilifu wake ulioletwa kama [[Agano Jipya]]. Mifano ni mafundisho ya [[Yesu]] katika [[Injili ya Mathayo]] 5:17-48.
 
==Maneno ya Amri Kumi==
Maneno ya Kutoka 20:1-17 kufuatana na tafsiri ya [[Biblia ya Union Version]] ni kama yafuatayo (namba za mbele ni hesabu ya amri kumi kadiri ya [[Waorthodoksi]] na baadhi ya [[madhehebu]] mengine, namba zinazofuata ni hesabu ya aya za sura 20):
 
(20:1) Mungu akanena maneno haya yote akasema:
Line 10 ⟶ 12:
(20:2) Mimi ni BWANA, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.
# (20:3) Usiwe na miungu mingine ila mimi.
# (20:4) Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia. (20:5) Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi. BWANA Mungu wako, ni Mungu wenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao, (20:6) nami nawerehemunawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.
# (20:7) Usilitaje bure jina la BWANA hatamhesabiwa kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure.
# (20:8) Ikumbuke siku ya sabato uitakase. (20:9) Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote; (20:10) lakini siku ya saba ni sabato ya BWANA, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya mlango yako. (20:11) Maana kwa siku sita BWANA alifanya mbingu, na nchi, na bahari, na vyote vilivyomo akastarehe siku ya saba; kwa hiyo BWANA akaibarikia siku ya sabato akaitakasa.
Line 18 ⟶ 20:
# (20:15) Usiibe.
# (20:16) Usishuhudie jirani yako uongo.
# (20:17) Usiitamani nyumba ya jirani yako; wala mke wake, wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala cho chote alicho nacho jirani yako.
 
[[Kanisa Katoliki]] na baadhi ya mdhehebu mengine, kwa kumfuata [[Agostino wa Hippo]], wanahesabu aya 3-6 kama amri ya kwanza, kumbe wanagawa aya 17 katika amri mbili (ya tisa na ya kumi)
 
==Viungo vya Nje==