Mwai Kibaki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 46:
Uchaguzi wa 28 Desemba 2007 ulimrudisha Kibaki kwa kipindi cha pili kama rais. Uchaguzi huu ulipingwa na chama cha upinzani na watazamaji wa kimatifa kuwa matokeo yake hayakuwa sahihi na kubiniwa. Mpinzani wake [[Raila Odinga]] alikuwa mbele katika hesabu za kura hadi kamati ya uchaguzi ilisimamisha hesabu ya kura; baada ya kuendelea na matanganzo Kibaki alionekana kuwa mbele. Kulikuwa na hofu ya kwamba matokeo ya majimbo ya uchaguzi kadhaa yalibadilishwa upande wake kwa kumwongezea kura. Hisia hizi zilisababisha ghasia kuibuka [[Nairobi]], [[Kisumu]], [[Eldoret]], [[Kericho]], [[Mombasa]] na sehemu zinginezo nchini. Kibaki aliapishwa upya kuwa rais wa Kenya masaa machache tu baada ya kutangazwa kuwa mshindi; hafla ilifanywa katika bustani ya ikulu ya Nairobi bila wananchi kuruhusiwa kushuhudia.
 
Kamati iliyobuniwa tutathmini ukweli wa mambo katika uchaguzi huo wa urais, iliyoongozwa na jaji mstaafu kutoka Africa Kusini [[Johann Kriegler]], iliripoti kwamba mshindi katika uchaguzi huo wa urais wa 2007 hangeweza kujulikana. Hii ni kwa sababu wizi wa kura ulifanyika katika sehemu nyingi nchini na ulitekelezwa kule mashinani na wafwasi wa wapinzani wote katika kinyanganyiro cha urais. Kriegler pia alielekeza lawama kwa [[Tume laya Uchaguzi laya Kenya]] kwa kukosa uajibikaji katika utendakazi, na ripoti hiyo ya Krieger ilipendekeza tume hiyo ibadilishwe.
 
Kinyume cha uchaguzi wa rais [[uchaguzi wa Bunge la Kenya 2007]] uliendelea bila matatizo makubwa.