Bendera ya Uruguay : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Flag of Uruguay.svg|thumb|250px|right|Bendera ya Uruguay]]
 
'''Bendera ya [[Uruguay]]''' ina milia ya nyeupe na buluu pamoja ya eneo katika kona ya juu linaloonyesha jua la njano (dhahabu). Idadi ya milia ni tisa kulingana na mikoa ya nchi wakati wa kuanzishwa.
 
Bendera ina tabia kadhaa za pamoja na [[bendera ya Argentina]]: rangi za buluu na nyeupe pia jua la dhahabu. Lakini idadi ya milia ni tofauti pia idadi ya mishale ya jua.