Canterbury : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with ''''Canterbury''' ni mji wa mkoa wa Kent, kusini mwa Uingereza, si mbali na London. Una wakazi 42.259 (2001). ==Historia== Ulianza kukaliwa karne nyingi K.K. na …'
 
No edit summary
Mstari 5:
 
Kuanzia mwaka [[560]] ukawa mji mkuu wa ufalme wa Kijerumani wa Kent, na mwaka [[597]] [[Augustino wa Canterbury]] akitokea [[Roma]] akaanzisha huko [[dayosisi]] ya kwanza ya [[Kilatini]] katika kisiwa cha [[Britania]]. Kwa [[ubatizo]] wa mfalme, [[uinjilishaji]] ulipiga hatua kubwa.
 
Tangu hapo, mji huo ukawa na umuhimu hasa upande wa [[Ukristo]], kwa sababu dayosisi hiyo ilizaa taratibu nyingine zote za kisiwa hicho.
 
Kwa msingi huo, [[Askofu mkuu]] wa [[Canterbury]] akawa mkuu wa Maaskofu wote wa Uingereza, halafu wa [[Waanglikana]] wote duniani.
 
==Picha==