Amri Kumi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 22:
# (20:17) Usiitamani nyumba ya jirani yako; wala mke wake, wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala cho chote alicho nacho jirani yako.
 
[[Kanisa Katoliki]] na baadhi ya madhehebu mengine, kwa kumfuata [[Agostino wa Hippo]], wanahesabu aya 3-6 kama amri ya kwanza, kumbe wanagawa aya 17 katika amri mbili (ya tisa na ya kumi).
Maneno ya Kumbukumbu la Torati 5:6-21 katika tafsiri ya [[Biblia ya Union Version]] ni kama ifuatavyo:
 
Maneno ya Kumbukumbu la Torati 5:6-21 katika tafsiri ya [[Biblia ya Union Version]]hiyohiyo ni kama ifuatavyo:
 
6. Mimi ni Bwana, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.
Line 39 ⟶ 41:
19. Wala usiibe.
20. Wala usimshuhudie jirani yako uongo.
21. Wala usimtamani mke wa jirani yako; wala usiitamani nyumba ya jirani yako, wala shamba lake, wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala kitu cho chote alicho nacho jirani yako.
 
 
[[Kanisa Katoliki]] na baadhi ya madhehebu mengine, kwa kumfuata [[Agostino wa Hippo]], wanahesabu aya 3-6 kama amri ya kwanza, kumbe wanagawa aya 17 katika amri mbili (ya tisa na ya kumi)
 
==Viungo vya Nje==