Amri Kumi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 6:

==Maneno ya Amri Kumi==
Maneno yanayojulikana kama “Amri Kumi” yanapatikana katika vitabu vya Biblia Kutoka na Kumbukumbu la Torati.
Maneno ya Kutoka 20:1-17 katika tafsiri ya [[Biblia ya Union Version]] ni kama ifuatavyo (namba za mbele ni hesabu ya amri kumi kadiri ya [[Waorthodoksi]] na baadhi ya [[madhehebu]] mengine, namba zinazofuata ni hesabu ya aya za sura 20):
{| class="wikitable"
|+ The Ten Commandments
!'''Kitabu cha Kutoka 20:2–17'''
!'''Kitabu cha Kumbukumbu la Torati 5:6–21'''

| valign="top" style="padding:0.5em" width=33% |2. Mimi ni BWANA, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.

3. Usiwe na miungu mingine ila mimi.

4. Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
5. Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi. BWANA Mungu wako, ni Mungu wenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao, 6. nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.

7. Usilitaje bure jina la BWANA hatamhesabiwa kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure.

8. Ikumbuke siku ya sabato uitakase. 9. Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote; 10. lakini siku ya saba ni sabato ya BWANA, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya mlango yako. 11. Maana kwa siku sita BWANA alifanya mbingu, na nchi, na bahari, na vyote vilivyomo akastarehe siku ya saba; kwa hiyo BWANA akaibarikia siku ya sabato akaitakasa.

12. Waheshimu baba yako na mama yako; siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na BWANA, Mungu wako.

13. Usiue.

14. Usizini.

15. Usiibe.

16. Usishuhudie jirani yako uongo.

17. Usiitamani nyumba ya jirani yako; wala mke wake, wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala cho chote alicho nacho jirani yako.

| valign="top" style="padding:0.5em" width=33% |6. Mimi ni Bwana, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.

(20:1) Mungu akanena maneno haya yote akasema:
7. Usiwe na miungu mingine ila mimi.

(20:2) Mimi ni BWANA, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.
# (20:3) Usiwe na miungu mingine ila mimi.
# (20:4) Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia. (20:5) Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi. BWANA Mungu wako, ni Mungu wenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao, (20:6) nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.
# (20:7) Usilitaje bure jina la BWANA hatamhesabiwa kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure.
# (20:8) Ikumbuke siku ya sabato uitakase. (20:9) Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote; (20:10) lakini siku ya saba ni sabato ya BWANA, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya mlango yako. (20:11) Maana kwa siku sita BWANA alifanya mbingu, na nchi, na bahari, na vyote vilivyomo akastarehe siku ya saba; kwa hiyo BWANA akaibarikia siku ya sabato akaitakasa.
# (20:12) Waheshimu baba yako na mama yako; siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na BWANA, Mungu wako.
# (20:13) Usiue.
# (20:14) Usizini.
# (20:15) Usiibe.
# (20:16) Usishuhudie jirani yako uongo.
# (20:17) Usiitamani nyumba ya jirani yako; wala mke wake, wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala cho chote alicho nacho jirani yako.

[[Kanisa Katoliki]] na baadhi ya madhehebu mengine, kwa kumfuata [[Agostino wa Hippo]], wanahesabu aya 3-6 kama amri ya kwanza, kumbe wanagawa aya 17 katika amri mbili (ya tisa na ya kumi).

Maneno ya Kumbukumbu la Torati 5:6-21 katika tafsiri hiyohiyo ni kama ifuatavyo:

6. Mimi ni Bwana, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.
7. Usiwe na miungu mingine ila mimi.
8. Usijifanyie sanamu ya kuchonga, mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, au kilicho chini duniani, au kilicho majini chini ya nchi.
9. Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu, nawapatiliza wana uovu wa baba zao; hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
10. nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.

11. Usilitaje bure Jina la Bwana, Mungu wako; maana Bwana hatamhesabia kuwa hana hatia, mtu alitajaye jina lake bure.

12. Ishike siku ya Sabato uitakase, kama Bwana, Mungu wako, alivyokuamuru.
13. Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote;
14. lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako; siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwanao, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala ng'ombe wako, wala punda wako, wala mnyama wako ye yote, wala mgeni aliye ndani ya malango yako, ili mtumwa wako na mjakazi wako wapumzike vile vile kama wewe.
15. Nawe utakumbuka ya kuwa wewe ulikuwa mtumwa katika nchi ya Misri, na ya kuwa Bwana, Mungu wako, alikutoa huko kwa mkono wenye nguvu, na mkono ulionyoshwa; kwa sababu hiyo Bwana, Mungu wako, alikuamuru uishike sabato.

16. Waheshimu baba yako na mama yako; kama Bwana, Mungu wako, alivyokuamuru, siku zako zipate kuzidi, nawe upate kufanikiwa katika nchi upewayo na Bwana, Mungu wako.

17. Usiue.

18. Wala usizini.

19. Wala usiibe.

20. Wala usimshuhudie jirani yako uongo.
21. Wala usimtamani mke wa jirani yako; wala usiitamani nyumba ya jirani yako, wala shamba lake, wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala kitu cho chote alicho nacho jirani yako.

==Mpangilio wa Amri Kumi==
Maneno katika Kutoka 20 huwa na amri mbalimbali. Namba kumi ni hesabu iliyotiliwa baadaye kwa orodha hii haikuwa nia ya kiasili kuwa na amri “10” kamili. Ila tu tayari wakati wa Biblia ilikuwa kawaida kuziita "amri 10" lakini bila kuonyesha namba au mpangilio katika maneno ya Biblia yenyewe.

Hali hii ilisababisha tofauti ndogo katika hesabu ya amri hizi kati ya mapokeo ya madhehebu mbalimbali. Tofauti kuu ni kawaida ya Wayahudi wakifuatwa na Wakristo mbalimbali kwa upande moja na Wakatoliki pamoja na Walutheri na Wamoravian kwa upande mwingine kuhusu kutokuwa na sanamu za kuchonga. Tangu [[Agostino wa Hippo]] Wakatoliki walijumlisha sehemu kuhusu kutoabudu sanamu za kuchongwa pamoja na amri ya kutokuwa na miungu mingine. Kwa kufikia namba kumi Agostino aligawa sehemu ya mwisho kuwa amri mbili. Martin Luther alimfuata Agostino lakini Wareformed waliona mpangilio tofauti wakaihesabu kama amri ya pekee.

{| class="wikitable"
|+ ''Mpangilio wa Amri Kumi katika dini/madhehebu mablimbali''
! align="left" | Amri
! width="80" | Wayahudi
! width="80" | Anglikana, Wareformed, Wakristo wengine
! width="80" | Orthodoksi
! width="80" | Wakatoliki, Walutheri, Wamoravian**

|Mimi ni Bwana Mungu wako
| align="center" | 1
| align="center" | (utangulizi)
| rowspan="2" align="center" | 1
| rowspan="3" align="center" | 1

| Usiwe na miungu mingine ila mimi
| rowspan="2" align="center" | 2
| align="center" | 1

| Usijifanyie sanamu ya kuchonga
| align="center" | 2
| align="center" | 2

| Usilitaje bure jina la Bwana
| align="center" | 3
| align="center" | 3
| align="center" | 3
| align="center" | 2

|Ikumbuke siku ya sabato uitakase
| align="center" | 4
| align="center" | 4
| align="center" | 4
| align="center" | 3

|Waheshimu baba yako na mama yako
| align="center" | 5
| align="center" | 5
| align="center" | 5
| align="center" | 4

|Usiue
| align="center" | 6
| align="center" | 6
| align="center" | 6
| align="center" | 5

|Usizini
| align="center" | 7
| align="center" | 7
| align="center" | 7
| align="center" | 6

|Usiibe
| align="center" | 8
| align="center" | 8
| align="center" | 8
| align="center" | 7

|Usishuhudie jirani yako uongo
| align="center" | 9
| align="center" | 9
| align="center" | 9
| align="center" | 8

|Usiitamani nyumba ya jirani yako
Usitamani mke wake
| rowspan="2" align="center" | 10
| rowspan="2" align="center" | 10
| rowspan="2" align="center" | 10
| align="center" | 9

|Usiitamani cho chote alicho nacho jirani yako
| align="center" | 10

==Viungo vya Nje==