Goregore : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa mpya
 
dNo edit summary
Mstari 15:
| spishi = Angalia katiba
}}
'''Goregore''', '''gegemela''', '''vilimbimsitu''' au '''vinuka''' ni [[ndege (mnyama)|ndege]] wa [[jenasi]] ''[[Phoeniculus]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Phoeniculidae]]. Hawa ni ndege weusi wenye mkia mrefu na domo refu jekundu au jeusi lililopindika. Mwangani kwa jua manyoya yao yana mng'ao kijani au zambarau wa metali. Kuna mabaka meupe kwa mabawa na mkia. Hupenda kuwa kwa makundi na hupiga kelele pamoja mara kwa mara wakitetea. Inaelekea kama sauti yao ni asili ya jina “gegemela”. Hula [[mdudu|wadudu]] ambao wanawatafuta katika nyufa ya miti kama [[kigong'ota| vigong'ota]]. Jike huyataga [[yai|mayai]] 2-4 ndani ya tundu asilia ya mti au tundu ya [[zuwakulu]] au kigong'ota. Baina ya kundi la kama ndege kumi ipo jozi moja tu inayozaa. Ndege wengine wasaidia hawa wawili kutunza makinda.
 
==Spishi za Afrika==