Mwari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 14:
| spishi = Angalia katiba
}}
'''Wari''' (pia '''miari''' au '''wali''') ni [[ndege]] wakubwa wa maji wa [[jenasi]] ''[[Pelecanus]]'', jenasi pekee ya [[familia]] [[Pelecanidae]], wenye domo kubwa na rangi nyeupe au kijivu. Ndege hawa huvua samaki kwa kundi. Domo lao la chini ni ngozi inayoweza kunyoka na kuumba mfuko ili kuuwekea samaki kwa kitambo. Huyataga mayai mawili chini au kwa tago la matete na matawi kati ya matete, juu ya mti mrefu au juu ya mwamba wa bahari.
 
==Spishi za Afrika==
Mstari 42:
</gallery>
 
[[Jamii:Wari na jamaa]]
[[Category:Ndege]]
 
[[ang:Dūfedoppa]]