Tofauti kati ya marekesbisho "Paul Ehrlich"

32 bytes added ,  miaka 14 iliyopita
no edit summary
d
'''Paul Ehrlich''' ([[14 Machi]], [[1854]] – [[20 Agosti]], [[1915]]) alikuwa daktari na mwanakemia kutoka nchi ya [[Ujerumani]]. Pamoja na [[Sahachiro Hata]] aligundua dawa ya kutibu [[kaswende]]. Mwaka wa [[1908]], pamoja na [[Ilya Mechnikov]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Tiba'''.
 
[[Category:Wanasayansi|EEhrlich]]
[[Category:Tuzo ya Nobel ya Tiba|EEhrlich]]
 
{{mbegu}}
[[fi:Paul Ehrlich]]
[[fr:Paul Ehrlich]]
[[id:Paul Ehrlich]]
[[it:Paul Ehrlich]]
[[nl:Paul Ehrlich]]
Anonymous user