Wabusinenge : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
 
No edit summary
Mstari 10:
Katika koloni jirani ya Kiholanzi ya [[Berbice]] (leo: [[Guyana]]) kulitokea uasi mkubwa wa watumwa dhidi ya mabwana wao kuanzia tarehe [[23 Februari]] [[1763]]. Wazungu wote waliacha mashamba yao na kukimbilia mjini walipoweza kujitetea. Watumwa wengi waliondoka na kujificha porini baada ya kufika kwa wanajeshi Waholanzi waliokuja kukandamiza ghasia hii.
 
Kwa jumla Wabusinenge walifaulu kujipatia uhuri zaidi ya miaka 100 kabla ya Waholanzi kutangaza mwisho wa utumwa. Kutokana na maisha yao ya pori wameendeleza utamaduni tofauti na weusi walioendelea kuishi kwenye mashamba na mjini na kupewa uhuru tangu [[1863]]. Hadi leo wanaonekana kama kikundi cha pekee katika Surinam. Utamaduni huu wa pekee ulikuwa pia tabia muhimu katika vita ya wenyewe kwa wenyewe katika Surinam mnamo mwaka 1985/1987 ambako Wabusinenge walikuwa na jeshi lao la pekee.
 
==Viungo vya Nje==