Afyuni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[picha:8651819 d63dee249d o.jpg|thumb||Afyuni bichi kutoka nchini Afghanistan]]
[[File:Field of opium.jpg|thumb||Shamba la mpopi chanzo cha afyuni]]
'''Afyuni''' ([[Kar.]] '''أفيون''') ni dawa asilia inayopatikana kutokana na utomvi uliokauka wa maua aina ya [[mpopi]] (Papaver somniferum - Kiing.opium poppy). Ndani yake kuna kemikali mbalimbali ambazo ni kati ya madawa makali kabisa yenye uwezo wa kutuliza maumivu lakini zinasababisha pia ulevi unaozoesha watu haraka na kuwafanya wasiweze kuacha ulevi huu.
 
==Uwezo na hatari za afyuni==