Mkondo wa Ghuba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
 
No edit summary
Mstari 4:
 
==Njia ya mkondo wa Ghuba==
Unanaza katika [[ghuba ya Meksiko]] unapita katika [[mlango wa bahari wa Florida]] kufuata pwani la mashariki ya Marekani halafu unavuka Atlantiki kuelekea [[Ulaya]]. Kabla ya kufika visiwa vya [[Britania]] unajigawa na mkono wa kusini unapita pwani za [[Hispania]] / [[Ureno]] hadi [[Afrika ya Magharibi]]. Mkono wa kaskazini unapita [[funguvisiwa vya Britania]] ([[Ueire]], [[Britania]]) na [[Bahari ya Kaskazini]] hadi [[Skandinavia]]. Mkono huu wa kaskazini huitwa "[[Mkondo wa Atlantiki ya Kaskazini]]".
Mkondo wa ghuba ni sehemu ya utaratibu wa mikondo ya bari inayozunguka dunia yote.