Mpopi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with '{{uainishaji | rangi = lightgreen | jina = Mpopi | picha = Koeh-102.jpg | upana wa picha = 225px | himaya = Plantae | ngeli = Magnoliophyta (mimea yenye maua) | nusungeli…'
 
No edit summary
Mstari 14:
}}
 
'''Mpopi''' (jina la kitaalamu: Papaver somniferum) ni mmea yenye asili katika nchi za [[Mashariki ya Kati]]. Inakua hadi urefu wa mita 1 ikiwa na maua nyeupe, njano na mara nyingi mekundu. Mpopi ni asili ya [[madawa ya kulevya]] ya [[afyuni]] na [[heroini]] yanayotumiwa pia kama madawa ya tiba hasa kwa kutuliza maumivu makali.
 
Mbegu hutumiwa kwa kutoa mafuta pia kama chakula ukichanganywa ndani ya keki na mikate.