Kanuni ya Heisenberg ya Utovu wa Hakika : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: ar:مبدأ الريبة
No edit summary
Mstari 1:
'''Kanuni ya Heisenberg ya Utovu wa Hakika''' (au '''Kanuni ya Utovu wa Hakika''' kwa kifupi) ni kanuni muhimu katika fizikia ya [[kwanta]]. Inasema kwamba haiwezekani kupima sifa mbili zinazotegemeana za kipande kimoja cha [[elementi]] kwa uhakika kabisa. Baadhi ya sifa hizo kuna [[mahali]] na [[mwendo]]. Maana yake kwa mfano, haiwezekani kupima kabisa mahali na mwendo wa [[elektroni]] moja wakati huohuo. Kanuni hii ilivumbuliwa na [[Werner Heisenberg]] mwaka wa 1927.
 
== Viungo vya nje ==
*'''(en)''' [http://daarb.narod.ru/tcpr-eng.html The certainty principle]
 
 
[[Category:Kanuni za Kifizikia]]