Kariobangi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: it:Kariobangi
No edit summary
Mstari 1:
'''Kariobangi''' ni mtaa wa [[Nairobi]] ulio kata ya [[tarafa ya Kasarani]]. Iko upande wa mashariki wa Nairobi kati ya [[Dandora (Nairobi)|Dandora]] na [[Huruma (Nairobi)|Huruma]]. Kuna Kariobangi North na Kariobangi South; nyumba ziko za ghorofa lakini kuna pia maeneo ya mabanda.
 
Mtaa huu unajulikana sana kwa malori ya kusafirisha vifaa vya ujenzi kama vile changarawe, mawe na kadhalika.