Tofauti kati ya marekesbisho "Selsiasi"

15 bytes removed ,  miaka 11 iliyopita
d
roboti Nyongeza: ur:درجۂ صد; cosmetic changes
d (roboti Badiliko: ta:செல்சியசு)
d (roboti Nyongeza: ur:درجۂ صد; cosmetic changes)
! Fomula
|-
|Selsiasi ||Fahrenheit ||°°F = °°C ×× 1.8 + 32
|-
|[[Fahrenheit]] ||Selsiasi ||°°C = (°°F – 32) / 1.8
|-
|Selsiasi ||Kelvini ||K = °°C + 273.15
|-
|[[Kelvini]] ||Selsiasi ||°°C = K – 273.15
|-
|}
'''Selsiasi''' ('''sentigredi''', '''Celsius''') ni kipimo cha [[halijoto]] kinachotumika zaidi duniani. Alama yake ni '''°C'''.
 
Kipimo hiki hutumia skeli ya vizio 100 kati ya 0°C na 100°C. 0°C ni halijoto ya kuganda kwa maji kuwa barafu. 100°C ni halijoto ya maji kuchemka, yote kwa shindikizo kawaida la hewa yaani takriban shindikizo la hewa linalopatikana kando la bahari.
 
1 °C sehemu ya mia ya tofauti kati ya 0°C na 100°C.
Kipimo hiki kilianzishwa na Msweden [[Anders Celsius]] (1701 - 1744). Yeye aliita halijoto ya kuchemka kwa maji kama 0°C na halijoto ya kuganda kuwa 100°C. Namna ya kuandika ilibadilishwa baadaye kinyume.
 
Selsiasi ni kipimo kinachotumika zaidi kimataifa katika maisha ya kawaida. Kisayansi vipimo vya [[Kelvini]] vimekuwa kawaida. Siku hizi ufafanuzi wa kisayansi ya Selsiasi ni ya kuwa kizio kimoja cha Selsiasi ni sehemu ya 1/273.16 ya tofauti kati ya [[sifuri halisi]] (=0 [[K]] au Kelvini sifuri) na [[kiwango utatu]] cha maji (maji kubadilika kutoka barafu kuwa kiowevu (majimaji).
 
Skeli ya Selsiasi imelinganishwa na skeli ya Kelvini yaani kizio kimoja cha Kelvini ni sawa na kizio kimoja cha Selsiasi.
 
[[CategoryJamii:Vipimo]]
 
[[af:Celsius]]
[[tr:Celsius (ölçek)]]
[[uk:Градус Цельсія]]
[[ur:درجۂ صد]]
[[vi:Độ Celsius]]
[[vls:Celsius]]
44,011

edits