Oranje (mto) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 11:
}}
'''Oranje''' ni [[mto]] mrefu wa [[Afrika Kusini]]. Chanzo chake ni katika [[milima ya Maloti]] (Drakensberg) nchini Lesotho. Mdomo uko [[Atlantiki]] mpakani kati ya Afrika Kusini na [[Namibia]].
 
Pale inapokaribia mpaka wa Nambibia Oranje imechimba mfereji mrefu katika miamba ina maporomoko yake makubwa ya Augrabies. Kwa 500 km mwendo wa mto ni mpaka kati ya Afrika Kusini na Namibia. Mjini [[Oranjemund]] Oranje inaingia Atlantiki.