Canberra : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: wuu:坎培拉
d roboti Nyongeza: os:Канберрæ; cosmetic changes
Mstari 2:
! colspan="2" bgcolor="#e3e3e3" |<center> <big><big><big> Canberra </center>
|- align="center"
| colspan="2" | [[ImagePicha:Canberra parlimentary axis.JPG|350px]]<br /> ''Mhimili wa Bunge mjini Canberra kati ya jengo la bunge na makumbusho kwa marehemu wa vita kuu''
|-
! colspan="2" bgcolor="#e3e3e3" |<center> Habari za kimsingi
Mstari 13:
|-
| '''[[Anwani ya kijiografia]]'''
| [[Latitudo]]: 35°18'30"S <br /> [[Longitudo]]: 149°7'30"E
|-
| '''Kimo'''
Mstari 32:
!colspan="2" align=center bgcolor="#e3e3e3" | '''Mahali'''
|-
|colspan="2" align=center | [[ImagePicha:As-map.png|290px|center]]
|}
'''Canberra''' ni [[mji mkuu]] wa [[Australia]] mwenye wakazi 330,000. Si sehemu ya jimbo lolote la shirikisho la Australia lakini
limepewa eneo lake la kitaifa kando la [[mto Molonglo]] ndani ya eneo la jimbo [[New South Wales]].
[[ImagePicha:Inner-canberra-triangle MJC01.png|thumb|220px|left|Ramani ya Canberra]]
Iko kilomita 300 kusini magharibi ya [[Sydney]] na kilomita 650 kaskazini-masahriki ya [[Melbourne]].
 
== Mji wa kupangwa ==
Canberra ni [[mji uliopangwa|mji mpya uliopangwa]] na ujenzi ukaanza mwaka [[1913]]. Msanifu Mwamerika [[Walter Burley Griffin]] alipanga ramani ya mji mwenye bustani nyingi na barabara zilizufuata mpangilio wa duara, pembetatu na miraba.
 
Mstari 46:
Mistari mingine muhimu ni "pembetatu ya bunge" kwa barabara tatu pana na nyofu kati ya kilima cha bunge, kilima penye kitovu cha mji mwenyewe na kilima penye wizara ya jeshi. Mikono miwili ya pembetatu inayotoka bungeni inavuka mto kwa madaraja.
 
== Historia ==
Kabla ya kuundwa kwa Canberra miji ya [[Sydney]] na [[Melbourne]] ilishindana juu ya nafasi ya mji mkuu. 1908 azimio la kujenga mji mpya likafanywa mahali kati ya miji miwili mikubwa.
 
Neno "Canberra" lina asili katika lugha ya [Aborigini|Maaborigini]] walio wenyeji asilia wa Australia. Maana yake ni "mahali pa mkutano".
 
[[Category:Miji ya Australia]]
[[Category:Miji Mikuu Australia na Pasifiki]]
 
{{Link FA|de}}
{{Link FA|it}}
 
[[CategoryJamii:Miji ya Australia]]
[[CategoryJamii:Miji Mikuu Australia na Pasifiki]]
 
[[af:Canberra]]
Line 115 ⟶ 114:
[[no:Canberra]]
[[oc:Canberra]]
[[os:Канберрæ]]
[[pih:Canberra]]
[[pl:Canberra]]