Namba tasa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: arz:عدد أولي
d roboti Nyongeza: szl:Pjyrszo nůmera; cosmetic changes
Mstari 2:
 
Mfano:
* 3 ni namba tasa kwa sababu inagawiwa kwa 1 na kwa 3 lakini hakuna namba nyingine inayoweza kuigawa.
* 4 si namba tasa kwa sababu inagawiwa kwa 1 na kwa 4 lakini pia kwa 2.
 
Idadi ya namba tasa haina mwisho na thelathini za kwanza ni 2, 3, 5, 7, 11, 13, 17, 19, 23, 29, 31, 37, 41, 43, 47, 53, 59, 61, 67, 71, 73, 79, 83, 89, 97, 101, 103, 107, 109, 113.
Mstari 10:
 
Namba zote nyingine zisizo namba tasa huitwa [[namba kivunge]] na zinaweza kupatikana kwa kuzidisha namba asilia mbili.
[[ImagePicha:Animation Sieve of Eratosth-2.gif|thumb|300px|Kichujio cha Erastothenes]]
== Kichujio cha Eratosthenes ==
Mbinu mwepesi wa kugundua namba tasa ndogo ni Kichujio cha Eratosthenes. Ilibuniwa na mwanahisabati na mwanafalsafa [[Eratosthenes]] aliyeishi zamani za [[Ugiriki ya Kale]].
 
* andika namba asilia zote kwenye karatasi kuanzia 2 hadi namba unayotaka kuifanyia utafiti kama ni namba tasa au la. Usiandike 1 kwa sababu iliyotajwa juu.
 
# anza kwa 2.
Mstari 24:
 
 
== Matumizi ==
Kunamatumizi ya namba tasa katika maisha ya kila siku kwenye namba za siri za akdi za benki au kadi za simu pia kwenye simu za mkononi. Nuymba ya namba ya siri mara nyingi ni zidisho la namba tasa mbili kubwa. Ni rahisi ykuzidisha namba tasa mbili lakini ni kazi kubwa mno kugundua zao ilikuwa tokeo la namba zipi.
 
[[Category:Hisabati]]
{{stub}}
 
[[CategoryJamii:Hisabati]]
 
[[af:Priemgetal]]
Mstari 92:
[[sr:Прост број]]
[[sv:Primtal]]
[[szl:Pjyrszo nůmera]]
[[ta:பகா எண்]]
[[th:จำนวนเฉพาะ]]