Tofauti kati ya marekesbisho "Wabenedikto"

22 bytes added ,  miaka 13 iliyopita
d
roboti Nyongeza: sc:Benedettinos; cosmetic changes
d (roboti Nyongeza: be:Бенедыкцінцы)
d (roboti Nyongeza: sc:Benedettinos; cosmetic changes)
[[ImagePicha:Fra Angelico 031.jpg|thumb|[[Benedikto wa Norcia]], [[Mwanzilishi]] wa shirika]]
 
'''Shirika la Mtakatifu Benedikto''' (kwa Kilatini '''Ordo Sancti Benedicti''' au, kifupi, '''O.S.B.'''), ni [[utawa]] wa [[wamonaki]] wanaofuata ''[[Kanuni ya Mtakatifu Benedikto]]'' iliyoandikwa mwaka [[534]] na kuenea kote Ulaya Magharibi kama namna ya kawaida ya umonaki.
 
== Historia ==
 
Wabenedikto hakubaki katika [[monasteri]] zao, wakishika maisha yao ya ''sala na kazi'', bali walijitosa pia kueneza [[Injili]] kwa wasio Wakristo, hasa wamonaki wa kiume.
 
 
== Muundo wa shirika ==
 
Wabenedikto, wakiongozwa na [[abati]] kwa wanaume au na [[abesi]] kwa wanawake, wanaishi katika monasteri ambazo zinajitegemea kiutawala na kuunda mashirikisho 20 ya kiume.
 
== Takwimu ==
 
Mnamo tarehe [[31 Januari]] [[2005]] monasteri za kiume zilikuwa 349 na wamonaki 7.876, ambao kati yao 4.350 ni ma[[kasisi]] pia.
Wamonaki Wabenedikto wa kike mwishoni mwa mwaka huo walikuwa 4.661 katika monasteri 242, mbali na wale wa marekebisho mbalimbali, na masista wa mashirika ya Kibenedikto.
 
== Viungo vya nje ==
 
* [http://www.osb.org Tovuti rasmi ya shirika]
* [http://www.osb-international.info/ ''Confoederatio Benedictina Ordinis Sancti Benedicti'', Tovuti rasmi ya shirikisho]
 
[[CategoryJamii:Kanisa Katoliki]]
[[CategoryJamii:Watawa]]
[[Jamii:Wabenedikto]]
 
[[ro:Ordinul benedictin]]
[[ru:Бенедиктинцы]]
[[sc:Benedettinos]]
[[sk:Rád svätého Benedikta]]
[[sr:Бенедиктинци]]
44,136

edits