Tofauti kati ya marekesbisho "Zambezi (mto)"

32 bytes added ,  miaka 14 iliyopita
no edit summary
d (robot Adding: cs:Zambezi)
}}
 
Zambezi ni kati ya [[mito mirefu ya Afrika]] ikiwa na nafasi ya nne baada ya [[Nile]], [[Kongo (mto)|Kongo]] na [[Niger (mto)|Niger]]. Ni mto mrefu wa Afrika wa kuingia [[Bahari Hindi]]. Beseni yake ina [[1,570,000  km²]] au nusu ya mto Nile. Chanzo chake iko [[Zambia]] inapita [[Angola]] mpakani na [[Namibia]], [[Botswana]], Zambia na [[Zimbabwe]] kwenda [[Msumbiji]] inapofikia [[Bahari Hindi]] katika [[delta]] ya 880 [[km²]].
 
Kwenye mwendo wa Zambezi pana maporomoko kadhaa hasa maporomoko ya [[Victoria Falls]]. Mengine ni maporomoko ya [[Chavuma]] mpakani wa Zambia na Angola halafu [[Ngonye Falls]] karibu na [[Sioma]], Zambia ya magharibi.
 
Zambezi ina madaraja matano pekee kati ya chanzo na mdomo mahali pafuatapo: [[Chinyingi]], [[Katima Mulilo]], [[Victoria Falls]], [[Chirundu]] na [[Tete]].
 
Zambezi ni chanzo cha umeme kwa ajili ya sehemu kubwa ya Afrika ya Kusini. Umeme unatengenezwa kwa nishati ya maji huko lambo la Kariba (Zambia) na lambo la [[Cabora-Bassa]] (Msumbiji).
141

edits