Unguja : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ca:Unguja
No edit summary
Mstari 1:
[[image:Zanzibar_(tanzania).jpg|thumb|Ramani ya Unguja]]
'''Unguja''' ni kisiwa kikubwa katika [[Bahari Hindi]] karibu na mwambao wa [[AfrikaAfrica ya Mashariki]] karibu na [[Daressalaam]]. Unguja ni kisiwa kikuu cha [[Zanzibar]] ambayo ni sehemu ya Jamhuri ya Maungano ya [[Tanzania]].
 
Unguja ina eneo la takriban 1.658 km² ikiwa na wakazi 460 000. Mji Mkuu ni [[Jiji la Zanzibar]] kwenye pwani la magharibi la kutazama bara.