Roma ya Kale : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: kv:Важ Рим
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Roman Republic Empire map.gif|thumb|300px|Mabadiliko ya eneo la Dola la Roma kuanzia mw. 510 [[KK]] hadi 480 [[BK]]; namba zinaruka kutoka 20 KK kwa 70 BK; *'''nyekundu''' = Jamhuri 510-40 KK; *'''dhambarau''' = Dola la Roma 20-360 BK *'''buluu''' = Roma ya magharibi 405-480 BK *'''njano''' = Roma ya mashariki 405-480 BK]]
 
'''RomaRome ya Kale''' ni ustaarabu uliokua kutoka katika mji na taifa la [[Roma]], ulioanzishwa katika rasi ya Italia katika karne ya 9 KK. Katika kipindi cha karne kumi na mbili cha uhai wake, ustaarabu wa Roma ulibadilika toka kuwa [[dola-mji]], kwanza ufalme halafu [[jamhuri ya Roma]] yenye athira katika Italia, na hadi kuwa milki kubwa. Roma ya Kale ilikuja kutawala Ulaya Magharibi na eneo zima linalozunguka [[bahari ya Mediteranea]] kwa njia ya vita au kwa njia ya maungano na maeneo.
 
Baada ya karne za upanuzi uhamisho wa mataifa mapya ya [[Wagermanik]] pamoja na mashambulio kutoka [[Asia]] zilisababisha hatimaye kuanguka kwa [[Dola la Roma]] katika karne ya 5 BK.