Mkoa wa Dar es Salaam : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d Reverted edits by 142.227.239.236 (Talk) to last version by VolkovBot
Mstari 1:
== Dar es Salaam ==
'''Dar es Salaam''' ni kati ya mikoa 26 ya [[Tanzania]]. Eneo la mkoa ni [[Jiji]] la [[Dar es Salaam]]. Imepakana na [[Mkoa wa Pwani]] pande zote barani na [[ChaneriBahari ya MusumbigiHindi]] upande wa mashariki. Jiji la Dar es Salaam ndilo kitovu cha shughuli za biashara na utawala nchini Tanzania.
 
Kuna wilaya tatu za [[Wilaya ya Kinondoni|Kinondoni]] (wakazi 1,088,867), [[Wilaya ya Ilala|Ilala]] (wakazi 637,573) na [[Wilaya ya Temeke|Temeke]] (wakazi 771,500) ambazo kila moja inaangaliwa kama mji. Takwimu hizi ni za mwaka 2002, kwa ujumla idadi ya wakazi hukadiriwa kuwa imefika mnamo milioni 3.