Baba yetu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: pnt:Πάτερ Ημών
Mstari 3:
Ni sala ya kikristo inayojulikana zaidi. Makanisa mengi huitumia katika kila ibada.
 
== Maneno yake katika Biblia ==
Kufuatana na taarifa za [[injili]] za Mathayo na Luka maneno ya sala hii yalitolewa na Yesu alipoombwa na wanafuzi wake kuwafundisha jinsi ya kusali. Taarifa ziko katika [[Agano Jipya]] la [[Biblia]] katika [[Injili ya Mathayo]] mlango wa 6, aya 13-19 na [[Injili ya Luka]] mlango wa 11 aya 2-4.
 
== Tafsiri za Kiswahili ==
Kwa Kiswahili kuna maumbo tofauti kwa sababu sala ilitafsiriwa na wamisionari mahali mbalimbali kwa wakati tofauti na kuwa kawaida kimahali. Haikusanifishwa hadi leo kwa Wakristo wanaotumia Kiswahili. Maumbo mawili yanayotumiwa zaidi ni kama ifuatavyo:
 
 
=== Sala ya Bwana (umbo la Kiprotestanti jinsi inavyotumiwa katika Kanisa la Kiluteri na Kanisa la Moravian) ===
:Baba yetu uliye mbinguni,
:Jina lako litukuzwe,
Mstari 24:
:Amin.
 
=== Sala ya Bwana (umbo katika Kanisa Katoliki) ===
:Baba Yetu uliye mbinguni,
:jina lako litukuzwe;
Mstari 38:
 
 
== Mengineyo ==
=== Baba Yetu kwa lugha nyingi ===
Katika "Bustani ya ufufuo" (Resurrection Gardens) mjini [[Nairobi]] mtaa wa [[Karen]] kuna maonyesho ya tafsiri ya Baba Yetu katika lugha mamia. Maneno yamechongwa na wasanii katika mawe, katika ubao au kuchorwa kwenye vigae. Hii inafuata mfano wa kanisa la Paternoster mjini [[Yerusalemu]] penye tafsiri za Baba Yetu kwa lugha 140 kwenye vigae vya rangi (tazama Viungo vya Nje hapo chini).
 
=== Wimbo ya Baba Yetu kwa Kiswahili ===
Kuna wimbo wa Baba Yetu kazika muziki ya mchezo wa kompyuta "Civilization IV". Wimbo huu unasikika kila wakati wa kuanza mchezo. Ulitungwa na Christopher Tin kutoka Marakani.
 
Wimbo ni wa kuvutia lakini kwa bahati mbaya maneno ya sala yamefupishwa kwa namna inayodokeza kwa kwamba mhariri asiyeelewa Kiswahili alipanga maneno kwa tuni na pia waimbaji hawakuelewa Kiswahili.
 
== Viungo vya Nje ==
* [http://www.civfanatics.net/downloads/civ4/music/BabaYetu.mp3 Wimbo la Baba Yetu kwa Kiswahili kutoka mchezo wa kompyuta "Civilization IV"]
* [http://www.christusrex.org/www1/pater/ Baba Yetu kwa lugha 1,437 kwenye tovuti ya monasteri ya Paternoster, pamoja na picha za vigae vyake]
 
[[CategoryJamii:Ukristo]]
[[CategoryJamii:Yesu]]
[[CategoryJamii:Sala]]
 
[[af:Onse Vader]]
Mstari 158:
[[st:Lord's Prayer]]
[[sv:Herrens bön]]
[[ta:கிறிஸ்துகிறித்து கற்பித்த செபம்]]
[[th:การภาวนาของศาสนาคริสต์]]
[[tl:Ama Namin]]