Harare : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: cy:Harare
d roboti Nyongeza: lmo:Harare; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Harare from the Kopje.jpg|thumb|350px|right|Harare inavyoonekana kutoka kilima cha Kopje]]
[[ImagePicha:Zimbabwe Provinces Harare 250px.png|right|Map of Zimbabwe with the province highlighted]]
'''Harare''' (zamani: '''Salisbury''') ni [[mji mkuu]] wa [[Zimbabwe]] pia mji mkubwa nchini ikiwa kwenye kimo cha 1,500m juu ya [[UB]]. Idadi ya wakazi imekadiriwa kufika 1,600,000, pamoja na mitaa ya nje hadi 2,800,000. Harare ni kitovu cha utawala pia cha uchumi nchini. Mtaa wa nje ulio mkubwa ni [[Chitungwiza]] yenye wakazi 340,000 kusini ya uwanja wa ndege wa kimataifa.
 
== Historia ==
Mstari 10:
Baada ya uhuru wa Zimbabwe jina la Salisbury ilibadilishwa mwaka 1982 kwa heshima ya chifu wa Washona Neharawa kuwa Harare.
 
Tangu 2002 mji uliathiriwa vibaya na matatizo ya kisiasa nchini Zimbabwe. Vyama vya upinzani vilipata kura nyingi mjini kushinda serikali ya [[Robert Mugabe]] katika chaguzi za kisiasa. Serikali ikalipiza kisasi kwa kufuta Halmashauri ya Mji. Mwaka 2005 serikali ilibomoa mitaa ya vibanda katika kempeni ya [[Operation Murambatsvina]] (Mradi wa "kuondoa takataka"). Lakhi za watu walifukuzwa katika nyumba zao na biashara zao zikabomolewa. Wapinzani waliona kempeni hii kama jaribio la kupunguza idadi ya wafuasi wa upinzani katika mji mkuu.
 
[[CategoryJamii:Miji Mikuu Afrika]]
[[CategoryJamii:Miji ya Zimbabwe]]
[[CategoryJamii:Zimbabwe]]
[[CategoryJamii:Harare| ]]
 
[[af:Harare]]
Mstari 59:
[[la:Hararensis Urbs]]
[[lb:Harare]]
[[lmo:Harare]]
[[lt:Hararė]]
[[mk:Хараре]]