Lugha za Kibantu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
rm credits
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Lugha za Afrika ramani.PNG|right|350px|thumb|Ramani hii inaonyesha enezi la '''lugha za Kibantu''' (rangi ya machungwa) kulingana na lugha nyingine za Niger-Congo (rangi ya manjano).]]
 
'''Lugha za Kibantu''' ni kundi la lugha ambalo ni tawi la [[lugha za Niger-Congo]].
'''Lugha za Kibantu''' ni kundi la lugha ambalo liko tawi moja la [[lugha za Niger-Congo]]. Lugha za Kibantu huzungumzwa katika nchi za [[Kamerun]], [[Nigeria]], [[Gabon]], [[Guinea ya Ikweta]], [[Kongo]] zote mbili, [[Rwanda]], [[Burundi]], [[Uganda]], [[Kenya]], [[Tanzania]], [[Angola]], [[Zambia]], [[Malawi]], [[Msumbiji]], [[Zimbabwe]], [[Namibia]], [[Botswana]], na [[Afrika ya Kusini]]. Enezi hilo linaonyesha kwamba kundi la lugha za Kibantu ni kubwa kabisa barani mwa [[Afrika]], na idadi ya wasemaji Wabantu ni takriban milioni 310.
 
'''Lugha za Kibantu''' nihuzungumzwa kundi la lugha ambalo liko tawi moja la [[lugha za Niger-Congo]]. Lugha za Kibantu huzungumzwahasa katika nchi za [[Kamerun]], [[Nigeria]], [[Gabon]], [[Guinea ya Ikweta]], [[Kongo]] zote mbili, [[Rwanda]], [[Burundi]], [[Uganda]], [[Kenya]], [[Tanzania]], [[Angola]], [[Zambia]], [[Malawi]], [[Msumbiji]], [[Zimbabwe]], [[Namibia]], [[Botswana]], na [[Afrika ya KusiniLesotho]]. Enezi hilo linaonyesha kwamba kundi la lugha za Kibantu ni kubwa kabisa barani mwa, [[AfrikaSwaziland]], na idadi[[Afrika ya wasemajiKusini]]. Wabantu ni takriban milioni 310.
Neno la '''Bantu''', maana yake ni ''watu'' katika lugha nyingi za Kibantu. Shina lake ni ''-ntu'', na [[kiambishi awali]] cha ''ba-'' kinaonyesha [[uwingi]]. Kwa sababu hiyo, mtaalamu [[Wilhelm Heinrich Immanuel Bleek]] (aliyeishi 1827 hadi 1875) alitumia neno la '''Bantu''' kwa kurejea kundi la lugha hizo. Bleek alilinganisha [[sarufi]] za lugha mbalimbali za Kibantu, na baadaye [[Carl Meinhof]] alimfuata katika utafiti huo.
 
Enezi hilo linaonyesha kwamba kundi la lugha za Kibantu ni kubwa kabisa barani [[Afrika]], na idadi ya wanaozitumia ni takriban milioni 310.
 
Neno la '''Bantu''', maana yake ni ''watu'' katika lugha nyingi za Kibantukundi hilo. Shina lake ni ''-ntu'', na [[kiambishi awali]] cha ''ba-'' kinaonyesha [[uwingi]]. Kwa sababu hiyo, mtaalamu [[Wilhelm Heinrich Immanuel Bleek]] (aliyeishi 1827 hadi 1875) alitumia neno la '''Bantu'''hilo kwa kurejea kundi la lugha hizo. Bleek alilinganisha [[sarufi]] za lugha mbalimbali za Kibantu, na baadaye [[Carl Meinhof]] alimfuata katika utafiti huo.
 
Kuna mamia ya lugha za Kibantu; wataalamu wengine wanahesabu 300, wengine wanahesabu 600. Mtaalamu [[Malcolm Guthrie]] aliziainisha kulingana na maeneo ya kijiografia. Kila eneo limepata herufi yake—A, B, C, D, E, F, G, H, K, L, M, N, P, R na S—na ndani ya kila eneo kuna tarakimu tena. Pia, Guthrie alichunguza [[lugha ya nasaba]] ambayo ni chanzo cha lugha zote za Kibantu.
 
==Tabia za Kibantu na historia ya lugha==
Lugha za Kibantu zina tabia mbalimbali za pamoja. Kati ya tabia hizihizo za pamoja nikuna viambishi awali na [[ngeli za nomino]].
 
Kutokana na sifa hizihizo wataalamu wa lugha wamekadiria ya kwamba asili ya lugha za Kibantu ilikuwepoilikuwa katika maeneo ya [[Kamerun]] ya Kusini; kutoka huko wasemaji asilia wa Kibantu walihamia katika [[milenia ya pili KK]] [[Kongo]] hadi [[Zambia]]. Waliendelea kuhamahama na kupanuka hadi kufika maeneo yote walipo sasa. Sehemu kubwa ya maeneo ya wasemaji wa lugha za Kibantu zilikaliwa awali na wasemaji wa [[lugha za Khoikhoi]]. Wataalamu wamekadiria yawamekisia kwamba Wabantu walifaulu kunea kutokana na maarifa yao ya kilimo na hasa matumizi ya chuma katika zana za kilimo na pia silaha.
 
Kati ya lugha za Kibantu zinazotumika zaidi nikuna Kiswahili na Kilingala. Lugha zenye wasemaji wengi kama lugha ya kwanza ni Kizulu na Kishona.
 
==Lugha za Kibantu zenye wasemaji wengi==
''(Idadi ya wasemaji ni makadirio tu; bado zinatofautianaina tofauti kati ya makala na makala)''
*[[Kiswahili]] na lahaja zake (wasemaji milioni 75) : [[Tanzania]], [[Kenya]], [[Uganda]], [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]], [[Rwanda]], [[Burundi]], [[Komori]], [[Mayotte]], [[Msumbiji]], [[Somalia]].
*[[Kinyarwanda-Kirundi]] : (wasemaji milioni 15): Rwanda, Burundi
Line 22 ⟶ 26:
*[[Zulu]] (wasemaji milioni 9) : [[Afrika Kusini]]
*[[Shona]] (wasemaji milioni 7) : Msumbiji, [[Zambia]], [[Zimbabwe]]
*[[Gikuyu]] (wasemaji milioni 7) : Kenya
*[[Kikongo]] (wasemaji milioni 6) : Angola, Jamhuri ya Kongo, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
*[[Chiluba]] (wasemaji milioni 6) : Jamhuri ya Kidemocrasia ya Kongo, [[Angola]]
 
*[[Gikuyu]] (wasemaji milioni 7) : Kenya