Hosea : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
Wakati wa nabii [[Amosi]], Hosea (kwa [[Kiebrania]] הושע, ''hoshè'a'')(750-725 hivi K.K.) pia alianza kazi yake katika ufalme wa [[Israeli]] (Kaskazini).
 
Yeye hakufundisha kwa maneno tu, bali hasa kwa matendo ya kushangaza: mtindo huo ukatumika na manabii wengi, hata na [[Yesu Kristo]].
 
Sura 1-3 za kitabu chake katika [[Biblia]] ([[Agano la Kale]]) zinasimulia alivyompenda mke wake [[Gomeri]] aliyemzalia watoto wa [[uzinzi]], hata hivyo akaendelea kumpenda na kumtafuta hata akamkomboa na kumrudisha.
 
Mfano huo wa upendo wa [[Mungu]] kwa bibiarusi asiye mwaminifu (yaani taifa aliloliteua) likazidi kuzingatiwa mpaka katika [[Agano Jipya]] na kuchangia uimara wa [[ndoa]].
 
[[Category:Vitabu vya Agano la Kale]]
[[Category:Watu wa Biblia]]