Samueli I : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: lt:Pirmoji Samuelio knyga
No edit summary
Mstari 1:
'''Kitabu cha kwanza cha Samueli''' kilikuwa sehemu ya kwanza ya Kitabu cha [[Samueli]] katika [[Tanakh]] (yaani [[Biblia ya Kiebrania]]) kabla hakijagawiwa pande mbili kutokana na ukubwa wake.
 
Kuanzia tafsiri ya kwanza (ya [[Kigiriki]]) inayojulikana kama [[Septuaginta]] na katika [[Agano la Kale]] la [[Biblia]] ya [[UkristoKikristo]] kinahesabiwa kama kitabu kinachojitegemea.
 
Hata hivyo mada yake na ya Kitabu cha pili ni moja: kueleza habari za mwanzo wa ufalme wa [[Israeli]] chini ya Samueli aliyewapaka mafuta wawe wafalme [[mfalme Sauli]] halafu [[mfalme Daudi]].
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[Historia ya Wokovu|historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[Ufunuo|ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
Kwa habari zaidi tazama [[Vitabu vya Samweli]].
 
==Viungo vya nje==
 
*[http://www.biblephone.net/mobile/index.php/swa/2/1Samuel/ Kitabu cha Kwanza cha Samueli katika Biblia (Union Version)]
 
{{Biblia AK}}