Samueli I : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Kitabu cha kwanza cha Samueli''' kilikuwa sehemu ya kwanza ya Kitabu cha [[SamueliSamweli]] katika [[Tanakh]] (yaani [[Biblia ya Kiebrania]]) kabla hakijagawiwa pande mbili kutokana na ukubwa wake.
 
Kuanzia tafsiri ya kwanza (ya [[Kigiriki]]) inayojulikana kama [[Septuaginta]] na katika [[Agano la Kale]] la [[Biblia ya Kikristo]] kinahesabiwa kama kitabu kinachojitegemea.
 
Hata hivyo mada yake na ya KitabuKitwabu cha pili ni moja: kueleza habari za mwanzo wa ufalme wa [[Israeli]] chini ya Samueli aliyewapaka mafuta waweawaweke wafalme[[wakfu]] [[mfalme Sauli]] halafu [[mfalme Daudi]].
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[Historia ya Wokovu|historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[Ufunuo|ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].