Daudi (Biblia) : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Image:David and Goliath by Caravaggio.jpg|thumb|Daudi akimmaliza Goliathi katika mchoro wa [[Caravaggio]]]]
'''Daudi''' alikuwa mfalme wa pili wa [[Israeli ya Kale]] mnamo mwaka [[1000 KK]]. Alimfuata mfalme [[Sauli]] akafuatwa na [[Suleimani]].
Alizaliwa na Yese mjini [[Bethlehemu]].
Alizaliwa kama mtoto wa Yese mjini [[Bethlehemu]]. Kama kijana alipelekwa kwa jumba la mfalme Sauli alipopanda ngazi na kuwa kiongozi wa kijeshi. Kati ya matendo yake yaliyokumbukwa ni ushindi juu ya Mfilisti Goliathi.▼
▲
Baada ya kifo cha Sauli Daudi akachaguliwa kwanza kama mfalme wa Yuda na baadaye pia wa Israeli. [[Zaburi]] nyingi zinamtaja Daudi kama mwandishi. ▼
Kati ya matendo yake yaliyokumbukwa zaidi ni ushindi juu ya Mfilisti [[Goliathi]].
[[Qurani]] inadai ya kwamba Daudi alikuwa mtume wa Allah aliyepewa kitabu cha "zabur".▼
▲Baada ya kifo cha Sauli Daudi akachaguliwa kwanza kama mfalme wa Yuda na baadaye pia wa Israeli.
[[Zaburi]] nyingi zinamtaja Daudi kama mwandishi au zimeandikwa kwa heshima yake.
▲[[Qurani]] inadai ya kwamba Daudi alikuwa [[mtume]] wa [[Allah]] aliyepewa kitabu cha "zabur".
{{mbegu}}
[[category:Watu wa Biblia]]
|