Tofauti kati ya marekesbisho "Amerigo Vespucci"

17 bytes added ,  miaka 11 iliyopita
d
roboti Nyongeza: eu:Amerigo di Vespucci; cosmetic changes
d (roboti Nyongeza: sq:Amerigo Vespucci)
d (roboti Nyongeza: eu:Amerigo di Vespucci; cosmetic changes)
[[ImagePicha:Amerigo Vespucci.jpg|thumb|left|150px|Amerigo Vespucci]]
 
'''Amerigo Vespucci''' (* [[9 Machi]] [[1451]] mjini [[Firenze]]/[[Italia]], + [[22 Februari]] [[1512]] mjini [[Sevilla]]/[[Hispania]]) alikuwa mtoto wa tatu wa mwanasheria wa Firenze. Alikua kuwa mfanyabiashara, nahodha na mpelelezi kwenye pwani za [[Amerika Kusini]]. Bara za Amerika zilipokea jina kutoka kwake (Amerigo - Amerika)
 
Amerigo alifanya kazi kwa kampuni ya [[Medici]] akatumwa nayo [[1491]] kwenda [[Sevilla]] katika [[Hispania]]. Hapa alikutana na [[Kolumbus]] akirudi kutoa [[Amerika]]. Mwaka [[1499]] alichukua nafasi yeye mwenyewe na kibali cha akina Medici akajiunga na safari kwenda Amerika kufuata nyayo za safari ya tatu ya Kolumbus kwa kusudi kugundua zaidi ya pwani jinsi Kolumbus alivyoweza. Mbele ya pwani la Guyana (leo: [[Surinam]]) aliachana na wenzake akiendelea kuelekea kusini akafika hadi mdomo wa [[mto Amazonas]] akiamini ya kwamba amefika Uhindi jinsi ilivyokuwa imani ya kawaida wakti ule.
 
Katika safari ya pili kwenda Amerika Kusini mwaka [[1501]] / [[1502]] alipita mwambao wa [[Brazil]] na [[Argentina]] hadi [[Patagonia]]. Aliporudi aliamini ya kwamba nchi ngàmbo ya [[Atlantiki]] si [[Asia]] lakini "dunia mpya" au bara jipya. Maandiko yake yalisambaa kote [[Ulaya]] na mjiografia Mjerumani [[Martin Waldseemüller]] alitumia jina la "[[Amerika]]" kwa heshima ya Amerigo alipochora ramani yake ya dunia ya mwaka [[1507]].
 
[[CategoryJamii:Wapelelezi wa Amerika|Vespucci, Amerigo]]
[[CategoryJamii:Wapelelezi kutoka Italia|Vespucci, Amerigo]]
 
[[ar:أميريغو فسبوتشي]]
[[es:Américo Vespucio]]
[[et:Amerigo Vespucci]]
[[eu:Amerigo di Vespucci]]
[[fa:آمریگو وسپوچی]]
[[fi:Amerigo Vespucci]]
43,992

edits