Tasmania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: mk:Тасманија
d roboti Nyongeza: war:Tasmania; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Tasmania in Australia map.png|thumb|Tasmania katika Australia]]
[[ImagePicha:Hobart Marina MTWellington.jpg|thumb|Bandari ya Hobart]]
'''Tasmania''' ni [[kisiwa]] kikubwa upande wa kusini wa [[Australia]] bara ni jimbo la Australia lenye eno la 90,758 [[km²]]. [[Mji mkuu]] pia mji mkubwa kisiwani ni [[Hobart (mji)|Hobart]].
 
== Wenyeji asilia ==
Wataalamu huamini ya kwamba Tasmania ilikuwa sehemu ya bara la Australia hadi miaka 12,000 iliyopita. Wakati ule watu wameshafika kisiwani lakini kutokea kwa mlango wa bahari kuliwatenga na wenyeji wa Australia. Hiyvo walikosa mawasiliano na watu wengine wakaendelea na teknolojia isiyoendelea. Wakati wa kufika kwa Wazungu katika karne ya 17 wenyeji walikuwa na vifaa vichache vya ubao na mawe tu lakini hawakuwa na pinde na mishale, hawakuvua kwa nyavu, hawakujua mashua wala kufuga wanyama au kulima.
 
== Historia ya kikoloni ==
Tasmania ilifikiwa na Mholanzi Abel Tasman mwaka 1642 na kupewa jina la "Van-Diemens-Land". Tangu 1803 Uingereza ilivamia kisiwa na kuitumia kama gereza kwa wafungwa kutoka Uingereza au Australia. Walowezi na wafugaji wa kondoo walikuja pia.
 
Wenyeji asilia waliuawa kwa wingi hadi kupotea kabisa. Leo kuna tu wajukuu wa wanawake wenyeji waliokamatwa na Wazungu na kuzaa nao.
 
== Wakazi ==
Leo hii kuna takriban watu nusu milioni kisiwani.
 
[[CategoryJamii:Australia| ]]
 
 
[[Category:Australia| ]]
 
[[ar:تاسمانيا]]
Line 86 ⟶ 84:
[[uk:Тасманія]]
[[vi:Tasmania]]
[[war:Tasmania]]
[[zh:塔斯馬尼亞州]]
[[zh-min-nan:Tasmania]]