Wasafwa : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
dNo edit summary |
||
Mstari 1:
'''Wasafwa''' ni kabila kutoka eneo la milima ya [[mkoa wa Mbeya]], nchini [[Tanzania]]. Mwaka 1987 idadi ya Wasafwa ilikadiriwa kuwa 158,000 [http://www.ethnologue.com/show_language.asp?code=sbk]. Wako hasa katika wilaya za [[Mbeya vijijini]], [[Mbozi]] na [[Chunya (wilaya)|Chunya]] kwenye safu za milima ya [[Mbeya]] na [[Uporoto]]. Lugha yao ni [[Kisafwa]].
{{mbegu}}
|