Venezia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: nah:Venezia
d roboti Nyongeza: sc:Venezia; cosmetic changes
Mstari 1:
{| style="float:right;"
|[[ImagePicha:Wenecja gondole.JPG|thumb|right|250px|Maboti ya gondola mjini Venezia]]
|-
|[[ImagePicha:Venice iko 2001092.jpg|thumb|right|250px|Kitovu cha Venezia kwa jicho la ndege]]
|-
|[[ImagePicha:Canale grande s marco.jpg|thumb|right|250px|Mfereji mkuu wa "Canale Grande"]]
|-
|[[ImagePicha:IMGP0975.JPG|thumb|right|250px|Mifereji ni kama barabara]]
|-
|}
Mstari 13:
Venezia ni mji wa pwani uliojengwa kwenye visiwa vidogo 117 ndani wa wamba la Venezia. Visiwa hivi vinakaa karibu kiasi ya kwamba madaraja 400 yanaunganisha mifereji kati yao. Mifereji ndani ya mji ni kama barabara na sehemu kubwa ya usafiri ni kwa maboti madogo.
 
Mji umekua kupitia eneo la visiwa tu na mwaka 2006 wakazi 269,000 walihesabiwa; 92,000 waliishi visiwani na wengine barani.
 
Venezia ni mji wa kale mwenye umri wa karibu miaka 1,500. Ilikuwa [[jamhuri]] ya kujitawala kabisa kwa karne nyingi hadi [[1797]] ilipovamiwa na [[Napoleon]] na kuunganishwa kwanza na [[Italia]] na baadaye na [[Austria]]. Tangu [[1866]] imekuwa sehemu ya Italia. Jamhuri ya Venezia ilikuwa dola lenye nguvu katika Mediteranea kwa sababu ilikuwa na [[manowari]] nyingi na vituo vya kijeshi kwenye visiwa vingi vya Mediteranea. Msingi wa nguvu yake ilikuwa biashara ya baharini na utajiri wake. Venezia ilikuwa kiungo wa kibiashara kati ya Uaya ya kikristo na dunia ya Kiislamu.
 
Kutokana na historia hii ya utajiri mji umejaa majengo mazuri na kazi za sanaa zinazovuta watalii mamilioni kila mwaka kutoka kila upande wa dunia. Venezia iko katika orodha ya [[urithi wa dunia]] ya [[UNESCO]].
Mstari 28:
{{stub}}
 
[[CategoryJamii:Miji ya Italia]]
 
[[af:Venesië]]
Mstari 104:
[[ru:Венеция]]
[[sah:Венеция]]
[[sc:Venezia]]
[[scn:Vinezzia]]
[[sh:Venecija]]