Pierre Curie : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: uk:П'єр Кюрі
Mstari 4:
Pierre Curie (* [[15 Mei]] [[1859]] [[Paris]]/[[Ufaransa]] - + [[19 Aprili]] [[1906]]) alikuwa mwanafizikia Mfaransa aliyepokea [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] wa mwaka 1903 pamoja na mke wake [[Marie Curie]] na [[Henri Becquerel]].
 
Alichunguza misingi ya [[sumakuumeme]]. Pamoja na mke wake aligundua elementi za [[Polonipoloni]] na [[Radiradi (elementi)|radi]]. Maelezo yao yaliunda misingi wa kuelewa unururifu wa kinyuklia.