Poloni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: qu:Polonyu
Mstari 22:
Poloni ni elementi nururifu sana na hatari kwa afya. Isotopi inayopatikana zaidi ni <sup>210</sup>Po yenye nusumaisha ya siku 138 inayobungua kuwa [[metali ya risasi]].
 
Kutokana na [[nusumaisha]] fupi ni elementi haba. Kiasili hupatikana kwa viwango vidogo sana katika mitapo ya [[Urani]] inapotokea kutokana na [[mbunguo]] wa [[Radiradi (elementi)|radi]] na [[Radoniradoni]]. Siku hizi takriban gramu 100 zatengenezwa kila mwaka kwa kutupia neutroni kwa [[bismuti]] katika maabara hasa Urusi.
 
Poloni ilitambuliwa pamoja na Radi mara ya kwanza [[1898]] na mwanakemia Mpoland [[Marie Curie]] na mume wake Mfaransa Pierre.