Kigong'ota : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
tahajia
dNo edit summary
Mstari 38:
''[[Xiphidiopicus]]'' <small>[[Charles Lucien Bonaparte|Bonaparte]], 1854</small><br>
}}
'''Vigong'ota''', '''gongonola''', '''gogota''', '''vigogota''', '''vigotagota''' au '''ving'ota''' ni [[ndege (mnyama)|ndege]] wa [[nusufamilia]] [[Picinae]] katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Picidae]]. Ni bora kutengea [[spishi]] za nusufamilia [[Picumninae]] jina “kigogota”. Inawakilishwa katika [[Afrika]] na [[kigogota|kigogota wa Afrika]]. Vigong'ota vinatokea misituni na maeneo mengine yenye miti kila mahali pa dunia isipokuwa [[Madagaska]], [[Australia]], [[New Zealand]] na kanda za [[Aktiki]] na [[Antaktiki]].
 
Spishi nyingi ni nyeusi mgongoni kwenye madoa na/au mabaka meupe au njano. Spishi nyingine zina rangi ya majani au kahawa. Miguu yao ina vidole viwili vikabilivyo mbele na viwili vikabilivyo nyuma. Mkia una manyoya shupavu na umsaidia ndege kutembea wima mashinani kwa miti. Ndege hawa wana domo lenye nguvu ambalo hutumia kugogota miti na kutafuta [[mdudu|wadudu]] katika nyufa za miti. Ulimi wao ndefu wa kunata na wenye nywele uwasaidia kuwatoa wadudu. Zaidi ya wadudu vigong'ota hula [[tunda|matunda]] na [[kokwa|makokwa]]; spishi nyingine hula hata utomvu wa miti. Dume huchimba tundu katika mti na pengine jike amsaidia. Huyu huyataga [[yai|mayai]] 2-6 ndani ya tundu.