Planktoni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: ar:عوالق
d roboti Nyongeza: te:ప్లవకాలు; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Meganyctiphanes norvegica2.jpg|thumb|150px|<small>Uduvi wa Krill inakula planktoni mimea na mwenyewe ni chakula cha [[nyangumi]] (urefu 1-2 [[cm]])</small>]]
[[imagePicha:Hyperia.jpg|thumb|150px|<small>Uduvi mdogo aina ya Hyperia ana urefu wa milimita 6</small>]]
[[ImagePicha:Phytoplankton SoAtlantic 20060215.jpg|thumb|150px|<small>Planktoni mimea (mwani) inaonekana kama kanda buluu mbele ya pwani la [[Argentina]] (picha kutoka angani)</small>]]
 
 
Mstari 9:
Planktoni ni chanzo cha maisha ya viumbe vingine kama samaki hadi wanadamu wanokula samaki au kulisha mifugo yao unga wa samaki.
 
== Aina za planktoni ==
Wataalamu wanatofautiisha aina tatu:
* Phytoplanktoni au '''planktoni mimea''' ni hasa aina za mwani ndogondogo inayoelea karibu na uso wa maji. Inatumia nuru ya jua kwa njia ya [[usanisinuru]] pamoja na [[madini]] ndani ya maji.
* Zooplanktoni au '''planktoni wanyama''' ambayo ni [[uduvi]] wadogowadogo wenye ukubwa chini ya [[milimita]] hadi [[sentimita]] mbili na pia [[mayavuyavu]].
* Bakterioplanktoni au '''planktoni bakteria''' ambayo ni [[bakteria]] na [[archaea]] zinazooishi pamoja na planktoni nyingine
 
== Chanzo cha mtando chakula ==
Planktoni ni chanzo cha [[mtando chakula]] majini; planktoni mimea ni chanzo chake kabisa na aina nyingine za planktoni wanatumia mimea hii kama chakula chao.
 
Mstari 22:
Kuna pia [[nyangumi]] na [[papa (samaki)|papa]] wanaokula planktoni moja kwa moja kwa kuichotea kwa midomo yao mikubwa pamoja na maji mengi na kusukuma maji nje kupitia meno yao ambayo ni mengi tena madogo kama chanuo au chujio na planktoni yenyewe inabaki ndani kama chakula.
 
[[CategoryJamii:Biolojia]]
[[categoryJamii:Bahari]]
 
[[ar:عوالق]]
Mstari 69:
[[sr:Планктон]]
[[sv:Plankton]]
[[te:ప్లవకాలు]]
[[th:แพลงก์ตอน]]
[[tr:Plankton]]