Tofauti kati ya marekesbisho "Mpumalanga"

35 bytes added ,  miaka 13 iliyopita
d
roboti Nyongeza: eu:Mpumalanga; cosmetic changes
d (roboti Nyongeza: xh:IPhondo yaMpumalanga)
d (roboti Nyongeza: eu:Mpumalanga; cosmetic changes)
|+ style="margin-left:inherit; font-size:larger;"|'''Mpumalanga'''

|colspan="2" style="text-align:center;"|[[ImagePicha:Mpumalanga coa.png]]

|'''[[Mji Mkuu]]'''
| [[Thabang Makwetla]] ([[African National Congress|ANC]])

|'''Eneo'''

|Nafasi ya 8 kati ya majimbo ya Afrika Kusini]]

|valign=top|'''Lugha'''
| [[SiSwati]] (30.8%)
[[IsiZulu]] (26.4%)
[[IsiNdebele]] (12.1%)
[[Sepedi]] (10.8%)

|valign=top|'''Wakazi kimbari'''
| Waafrika Weusi(92.4%)
Wazungu (6.5%)
Chotara(0.2%)
Wenye asili ya Asia (0.2%)

|colspan="2" style="text-align:center;"|[[ImagePicha:South_Africa_Provinces showing_MP.png|250px|Mahali pa Mpumalanga]]

Neno Mpumalanga limetokana katika lugha ya Kiswazi likimaanisha "mahali pa macheo".

== Jiografia ==
Mpumalanga imepakana na [[Uswazi]] na [[Msumbiji]] halafu na majimbo ya [[KwaZulu-Natal]], [[Dola Huru]], [[Gauteng]] na [[Limpopo]]. [[Hifadhi ya Kruger]] ambayo ni [[hifadhi ya wanyama]] mashuhuri imo jimboni.

Kuna kanda mbili za tambarare za juu penye [[usimbishaji]] kidogo na tambarare za duni penye mvua nyingi.

== Uchumi ==
=== Kilimo ===
Sehemu kubwa ya eneo hutumiwa kwa kilimo. Mazao ni pamoja na mahindi, ngano, ntama, alizeti, soya, karanga, miwa, mboga, kahawa, chai, pamba, tumbako, machungwa na matgunda mengine.

Takriban 14% za eneo hutumiwa kwa mifugo hasa ng'ombe na kondoo.

=== Migodi ===
Kati ya madini yanayochimbwa ni: dhahabu, platini, shabha, makaa mawe na mengi mengine.

Mpumalanga huzalisha 83% za makaa mawe ya Afrika Kusini.

=== Utalii ===
Hifadhi ya Kruger ina eneo la 20,000 km² hutembelewa sana na watalii.
{{mbegu}}

[[CategoryJamii:Majimbo ya Afrika Kusini]]

[[Category:Majimbo ya Afrika Kusini]]
{{mbegu}}

[[af:Mpumalanga]]
[[es:Mpumalanga]]
[[et:Mpumalanga]]
[[eu:Mpumalanga]]
[[fi:Mpumalanga]]
[[fr:Mpumalanga]]
44,168

edits