Kiumbehai : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: su:Organismeu
d roboti Nyongeza: la:Organismus; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:EscherichiaColi NIAID.jpg|thumb|150px|Bakteria ya Escherichia coli ni mfano wa viumbehai katika kundi la prokariota]]
[[ImagePicha:Elephant-ear-sponge.jpg|thumb|150px|Sifongo ya baharini ni mfano wa viumbehai katika kundi la eukariota]]
 
'''Kiumbehai''' ni kitu ambacho ni hai kama vile [[mtu]], [[mnyama]], [[mmea]] au [[bakteria]]. Kwa upande mmoja viumbehai ni [[molekuli]] za [[mata]] jinsi ilivyo kwa vitu vingine kwa mfano [[udongo]], [[mawe]], [[fuwele]] au [[hewa]]. Kwa upande mwingine mata hii ina mfumo mwenye tabia mbalimbali ammbazo kwa pamoja zinaunda uhai kama vile uwezo wa kuzaa, kukua na umateboli (uwezo wa kujenga au kuvunja kemikali mwilini). Hata kama sayansi haijui kikamilifu uhai ni nini inatambua jumla ya tabia hizi kama dalili za uhai.
Mstari 8:
Viumbehai vyenye seli moja tu ni vidogo sana havionekani kwa jicho bali kwa [[hadubini]] tu.
 
== Aina za viumbehai ==
Wataalamu wamegawa viumbehai katika vikundi vitatu kufuatana na muundo wao wa ndani:
 
Mstari 21:
== Viungo vya Nje ==
 
* [http://sd71.bc.ca/sd71/school/courtmid/Library/subject_resources/science/chapter_1_organisms_and_their_environment.htm Links for Middle School students]
<!-- interwiki -->
 
[[CategoryJamii:Biolojia]]
 
<!-- interwiki -->
 
[[ar:متعضية]]
Line 60 ⟶ 59:
[[kn:ಸಾವಯವ]]
[[ko:생물]]
[[la:Organismus]]
[[lb:Liewewiesen]]
[[lt:Organizmas]]