Kitabu cha Nehemia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nimeunganisha na makala hii ile ya KITABU CHA NEEMIA ambayo kwa hiyo inaweza kufutwa tu.
Mstari 15:
'''Nehemia kurudi (1:1-2:10)'''
 
Miaka 13 ilikuwa imepita tangu Artashasta (au Artaxerxes I) alipotoa amri yake ya kumtumaalipomtuma Ezra Yerusalemu ili arekebishe hali ya Israeli (Ezra 7:7; Neh 2:1). Hapo mwanzoMwanzoni Ezra alikuwa na mafanikio, lakini Wayahudi walipojaribu kuimarisha Yerusalemu kwa njiakujenga yakuta kujengakandokando ukuta wakeyake, maadui zao waliwashtaki kuwa waliandaa maasi dhidi ya Uajemi. Walipopeleka habari hizo kwa mfalme Artashasta, yeye alitoa amri ya kusimamisha kazi hiyo mara moja (Ezra 4:7-23).
 
Wakati huo huko Uajemi Nehemia aliyekuwa afisa wa Kiyahudi katika nyumba ya mfalme, alipandishwa cheo kuwa mnyweshaji mkuu wa mfalme (yaani mkuu wa vinywaji; Neh 1:11). Wayahudi waliposikia kwamba mmojawao alikuwa katika hali ya kuweza kusema na mfalme, walifika Uajemi ili wamwone. Walimweleza habari za shida kubwa ambazo maadui wa Wayahudi walisababisha huko Yerusalemu kwa kutekeleza amri ya mfalme (1:1-3; Ezra 4:23). Amri ile ilimruhusu mfalme kubadilisha uamuzi wake baada ya muda kama angependa kufanya hivyo (Ezra 4:21), na bila shaka wajumbe wa Kiyahudi kutoka Yerusalemu walitegemea kwamba Nehemia angeweza kumshawishi mfalme awasaidie tena.
Mstari 99:
 
Siku za Ezra watu walikuwa wameapa kwamba wawaondoe wake zao wa kigeni, na kweli walifanya hivyo (Ezra 10:19,44). Wakati huo desturi ile mbaya ilienea tena, nayo ilitishia kuharibu dini ya Waisraeli. Kwa ushujaa ule uliokuwa tabia ya Nehemia, alirekebisha hali hiyo (23-29). Hakuna shaka lo lote kwamba yeye, zaidi ya mtu ye yote, aliwasaidia watu wa wakati ule kutengeneza maisha yao katika msingi wa dini ya kweli kadiri ya sheria ya Mungu (30-31).
 
 
==Muhtasari==