Kitabu cha Yobu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: hu:Jób könyve
No edit summary
Mstari 1:
'''Kitabu cha Yobu''' (kinaitwa pia '''Ayubu''') ni kitabu kimojawapo cha hekima katika [[Biblia ya Kiebrania]] ([[Tanakh]]), hivyo pia cha [[Agano la Kale]] ya [[UkristoBiblia ya Kikristo]].
{{mergefrom|Kitabu Cha Ayubu}}
'''Kitabu cha Yobu''' (kinaitwa pia '''Ayubu''') ni kitabu kimojawapo cha [[Biblia ya Kiebrania]], hivyo pia cha [[Agano la Kale]] ya [[Ukristo]].
 
Miongoni mwa aina nyingi za vitabu vya [[Biblia]] vipo vile vinavyojulikana kuwa [[vitabu vya hekima]]. Kati ya vitabu hivyo, pamoja na Ayubu, kuna [[Methali (Biblia)|Methali]] na [[Mhubiri (Biblia)|Mhubiri]], ingawa hata baadhi ya [[Zaburi]] na sehemu za vitabu vingine pia vinaweza kuhesabiwa kuwa ni maandiko ya hekima. Tena, kati ya [[Deuterokanoni]], vingi ni vitabu vya hekima.
Kiliandikwa namna ya shairi, kina sura 42, na swali lake hasa ni: “Mbona Mungu aliye mwema anaruhusu mateso?”
 
==Mtindo na mpangilio wa uandishi==
Hadithi hii inasimulia mateso yake Yobu aliyemcha na kumwabudu Mungu vizuri kabisa. Hata hivyo mali yake yote ilipotea, watoto wake wote walikufa, na mke wake alimshauri kumlaani Mungu. Yeye lakini hakufanya kosa mbele ya Mungu.
 
Hakuna uhakika kuhusu wakati wa kuandikwa habari za Ayubu wala haijulikani mwandishi wa kitabu chake alikuwa nani. Lakini kutojua mambo haya si kizuizi cha kuelewa ujumbe wa kitabu. Jambo muhimu ili kuelewa kitabu cha Ayubu si kumjua mwandishi wake au wakati wa kuandikwa kwake, bali jinsi kilivyoandikwa na muundo wake.
Alipotembelewa na marafiki watatu katika huzuni yake, wanajadiliana sababu ya mateso. Sehemu kubwa ya kitabu inahusu majadiliano hayo.
 
KiliandikwaUkitoa namnamwanzo yana shairimwisho wake, kinakitabu hiki chenye sura 42 kiliandikwa namna ya [[shairi]], na swali lake hasa ni: “Mbona [[Mungu]] aliye mwema anaruhusu mateso?”
Mwishoni Mungu mwenyewe anamjibu Yobu kutoka katika dhoruba.
 
Hadithi hii inasimulia mateso yakeya Yobu aliyemcha na kumwabudu Mungu vizuri kabisa. Hata hivyo mali yake yote ilipotea, watoto wake wote walikufa, na mke wake alimshauri kumlaani Mungu. Yeye lakini hakufanya kosa mbele ya Mungudhambi.
Pamoja na vitabu vya [[Methali (Biblia)|Methali]] na [[Mhubiri (Biblia)|Mhubiri]], kitabu cha Yobu ni kitabu kimojawapo cha hekima.
 
Alipotembelewa na marafiki watatu katika [[huzuni]] yake, wanajadilianawalijadiliana naye sababu ya mateso. Sehemu kubwa ya kitabu inahusuinaleta majadiliano hayo.
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[Historia ya Wokovu|historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[Ufunuo|ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
Mwishoni, baada ya [[Elihu]], Mungu mwenyewe anamjibuakamjibu Yobu kutoka katika [[dhoruba]].
 
Inafaa tukisoma kitabu cha Ayubu sawa sawa tunavyosoma vitabu vile vya Agano la Kale vyenye lugha ya mjazo wa masimulizi, maagizo ya haki au hotuba zenye wito. Hayo siyo kwa sababu kitabu kina alama za maandiko yenye hekima tulivyokwisha ona, bali kwa sababu kiliandikwa kwa mtindo wake. Haya yanaonekana katika kitabu chote, yaani katika masimulizi ya mwanzo wa kitabu, katika mifululizo ya majadiliano na katika mwisho wake wa kuvutia sana.
 
Kama ilivyo katika utunzi wo wote, msemo wake na aina ya utunzi wa maneno unastaajabisha wala maneno yake hayakukusudiwa kutafsiriwa moja kwa moja kila mara. Wala kitabu hiki hakikuandikwa ili kichunguzwe mstari kwa mstari, kwa sababu mara nyingine mstari mzima au hata mfululizo wa mistari kadhaa hutumiwa kueleza wazo moja tu la kimsingi. Mashairi ya Kiebrania kwa jumla na hasa maandiko ya hekima ya Kiebrania yalikuwa na maana ya pekee ambayo iliyafanya yatofautiane na maandiko mengine ya kawaida ya Agano la Kale.
 
KamaKwa kuelewa maana hiyo zaidi, kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[Historia ya Wokovu|historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[Ufunuo|ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
==Kumfahamu Ayubu==
 
Ayubu alikuwa tajiri aliyesoma na kumcha Mungu. Aliishi katika nchi ya Usi iliyokuwa mashariki ya Palestina. Alipopatwa na mfululizo wa maafa, marafiki zake walikazania kwamba shida zile lazima zilisababishwa na dhambi zake za siri. Ayubu alikataa maneno yao. Alijua kwamba hakuwa mtu mkamilifu, lakini pia alijua kwamba maoni ya kawaida ya desturi za nchi ile, kama yalivyoelezwa na marafiki zake, hayakueleza jambo lo lote. Majadiliano marefu yenye uchungu yaliyofuata yalijaza nafasi kubwa ya kitabu chote.
 
Elifazi (Ayubu 42:7) alikuwa ametoa mashtaka kwa Mungu kwamba watu humtumikia Mungu tu kwa sababu ya vitu wanavyoweza kupata kutoka kwake. Kama wangepata matatizo na shida wangemlaani (1:9-11; 2:4-5). Mungu akaruhusu maafa yaje juu ya Ayubu ili kupima uthabiti wa imani yake, na hivyo kuimarisha imani hiyo na kuongeza uzoefu wa Ayubu na Mungu (taz. Yak 5:11). Mateso ya Ayubu hayakuthibitisha hukumu ya Mungu juu yake, bali yalithibitisha matumaini yake katika Mungu na jinsi alivyomwamini.
 
Mkazo wa marafiki zake kwamba mateso au shida lazima vitokane na dhambi za mtu binafsi ulimfikisha Ayubu katika hali ambayo nusura ashindwe kuwavumilia zaidi. Lakini pia hali hiyo ilimsababisha amkaribie Mungu zaidi ambaye Ayubu alimwona kuwa tumaini lake la pekee. Alipomlalamikia Mungu, inawezekana kuwa alikosa alipotumia lugha isiyostahili, lakini kwa hali yo yote alipeleka malalamiko yake kwa Yule aliyehusika.
 
Mwisho aliridhishwa, si kwa sababu maswali yake yote yalijibiwa, bali kwa sababu alikutana na Mungu ambaye alimlilia. Inawezekana kwamba Ayubu hakuelewa makusudi ya Mungu, lakini alijifunza kwamba Mungu huyo ambaye hekima yake ilikuwa kubwa sana kuliko ufahamu wa wanadamu, alistahili kutegemewa. Mungu hakuhitaji kujitetea kwa wanadamu. Aliweza kufanya jambo lo lote alilopenda.
 
Mungu alipomthibitisha Ayubu, aliwaonyesha marafiki kwamba walikosa walipodai kwamba kila shida lazima ni matokeo ya dhambi za mtu binafsi. Pia alionyesha kwamba Elifazi alikosa alipodai kwamba watu wanamwabubu Mungu tu, kwa sababu anawapa mambo mema na fanaka. Ayubu alidumu kuwa mwaminifu kwa Mungu, ingawa alipoteza kila kitu, lakini mwisho Mungu alimbariki kwa mibaraka mikubwa kuliko alivyokuwa nayo hapo awali.
 
==Muhtasari==
 
1:1-2:13 Elifazi amjaribu Ayubu
 
3:1-14:22 Mfululizo wa kwanza wa mahojiano
 
15:1-21:34 Mfululizo wa pili wa mahojiano
 
22:1-26:14 Mfululizo wa tatu wa mahojiano
 
27:1-31:40 Mfululizo wa Ayubu
 
32:1-37:24 Hoja za Elihu
 
38:1-42:17 Jibu la Mungu
 
==Viungo vya nje==
[http://www.biblephone.net/mobile/index.php/swa/2/Jo/ Kitabu cha Yobu katika tafsiri ya Kiswahili (Union Version)]
 
{{Biblia AK}}