Tofauti kati ya marekesbisho "Port Bell"

5 bytes removed ,  miaka 11 iliyopita
no edit summary
d (roboti Nyongeza: it:Port Bell)
[[Image:Port_Bell_Place_Uganda.png|thumb|300px|Mahali pa Port Bell katika Uganda]]
'''Port Bell''' ni mji mdogo karibu na [[Kampala]]/ [[Uganda]] ufukoni wa ziwa la [[Viktoria Nyanza Lac]]. Jina la mji limetokana na Sir [[Hesketh Bell]] aliyekuwa kamishna (gavana) Mwingereza huko Uganda kuanzia mw. 1905-1909.
 
Port Bell ni bandari kwa ajili ya Kampala. Feri zinatoka kwenda [[Jinja]], [[Kisumu]] na [[Mwanza]].
Anonymous user