Kisumu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Undo revision 221537 by 142.227.239.235 (Talk)
Mstari 2:
'''Kisumu''' ni mji mkuu wa [[Mkoa wa Nyanza]] nchini [[Kenya]] mwenye wakazi 322,724 (1999). Ni mku mkubwa wa tatu wa Kenya pia mji mkubwa wa Kenya ya Magharibi na makao makuu ya [[wilaya ya Kisumu]].
 
Mji uko kando la ziwa [[NyanzaViktoria lacNyanza]] una bandari kubwa ya nchi kwa ziwa hilo. Mji na bandari vilianzishwa kwa jina la "Port Florence" mwaka [[1901]] wakati [[reli ya Uganda]] ilipofika hapa kutoka [[Mombasa]].
 
Kuna feri ziwani kutoka Kisumu kwenda [[Mwanza]], [[Bukoba]], [[Entebbe]], [[Port Bell]] na [[Jinja (Uganda)|Jinja]].